myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ugali wa kisukuma....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umekunywa chai ya wapi leo??
Ugali wa kisukuma....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umekunywa chai ya wapi leo??
Doooh nyanya [emoji124][emoji124]Najua kupika chai tu nyanya[emoji17][emoji17]
Mvua huku jirani..vidole vimekakama kwa baridi[emoji16][emoji16][emoji16]Nimesema chai[emoji23][emoji23]jirani ni vipi lakin?
Unabanikwa kwenye mawe. Kama we mwanaume wa Dar na mikono laini huwezi kuugusa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakisukuma huwa mgumu hlf wa moto,, km viganja vyako vya kichumba utaurudsha kwenye sahani mwenyew[emoji16] [emoji16]
Mayai ya kuchemsha najua[emoji23][emoji23]Na mayai ya kuchemsha unajua? Au nayo mpaka uende kozi?
Amekula ugali asubuhi yote hii??Ugali wa kisukuma....
[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]niacheee
Hata chai sijanywa. Nimeamkia kwenye uzi wa likes. Ngoja nikajipikilishe aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umekunywa chai ya wapi leo??
Kuna discount nije??Doooh nyanya [emoji124][emoji124]
Mimi nafundisha mapishi karibu ni hela yako tu.
Hahah viganja vyangu vigumu[emoji23][emoji23][emoji23]picha ha hivyo viganja tafadhali
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakisukuma huwa mgumu hlf wa moto,, km viganja vyako vya kichumba utaurudsha kwenye sahani mwenyew[emoji16] [emoji16]
Tafuta blanketi jiraniMvua huku jirani..vidole vimekakama kwa baridi[emoji16][emoji16][emoji16]
Mazoea! Anajisongea mwenyewe..ile misambwada haiwezi kusonga..Amekula ugali asubuhi yote hii??
Maji ya asubuhi au jioni jirani..Mayai ya kuchemsha najua[emoji23][emoji23]
Hata mihogo na makaba(viazi vitam)najua
Bila kusahau maji ya kuoga[emoji125] [emoji125] [emoji125]