Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mie huwa nawekea chaji kabisaa na inadumu nayo kwa muda mrefu na laptop pia ikiwa na chaji unachajia simu vizur tuPawa benki nayo ni mpaka ukumbuke kuiwekea pawa. Ninazo tatu lakini kila siku umeme ukizimika nakuta hakuna hata moja iliyo na pawa so wote tu tunabakia kuwa pawalesi..