carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nitaweza kweli mimi?na hii mikono milegevu?Unabanikwa kwenye mawe. Kama we mwanaume wa Dar na mikono laini huwezi kuugusa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bwana pepsi[emoji1]
Nikuache uko na nani?
Ugali wa Kisukuma asubuhi yote hii jirani? Kwa kawaida ugali unaliwa jioni. Asubuhi uji au viporo vyepesi, mchana michembe/matoborwa, jioni ndo ugali wenyewe sasa....Ugali wa kisukuma....
Blanket lihemalo....ngoja niulizeTafuta blanketi jirani
Hivi chai inapikwa ama inachemshwa??Hata chai sijanywa. Nimeamkia kwenye uzi wa likes. Ngoja nikajipikilishe aisee...
[emoji23][emoji23][emoji23]umejiwahi eeh??Hahah viganja vyangu vigumu
Maji ya kuoga. Hapo kama vile umenitekenya [emoji23][emoji23][emoji23]Mayai ya kuchemsha najua[emoji23][emoji23]
Hata mihogo na makaba(viazi vitam)najua
Bila kusahau maji ya kuoga[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mmmh!!Mazoea! Anajisongea mwenyewe..ile misambwada haiwezi kusonga..
[emoji16] [emoji16] [emoji16] mkuu waache wapumzike hawa jamaa wa dar,,,Unabanikwa kwenye mawe. Kama we mwanaume wa Dar na mikono laini huwezi kuugusa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]swali halina jibu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Maji ya asubuhi au jioni jirani..
Maji ya iliki?
Asili haina muda..umeliacha lile 'dude' lenye mijiguu lazima ugali kwanzaUgali wa Kisukuma asubuhi yote hii jirani? Kwa kawaida ugali unaliwa jioni. Asubuhi uji au viporo vyepesi, mchana michembe/matoborwa, jioni ndo ugali wenyewe sasa....
[emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja tuone Mrusi kama atajibu. Vita vya tatu vya dunia vije tujioff hapa duniani.Marekani inasema kuwa ililenga maeneo matatu -Kituo cha utafiti mjini Damascus na vifaa vya uhifadhi karibu na mji wa Damascus
Picha ya chakula cha mchana tafadhali ya michembe/matoborwaUgali wa Kisukuma asubuhi yote hii jirani? Kwa kawaida ugali unaliwa jioni. Asubuhi uji au viporo vyepesi, mchana michembe/matoborwa, jioni ndo ugali wenyewe sasa....
Ndio nyanya wahi nafasi ni chacheKuna discount nije??
Kwani huna??Blanket lihemalo....ngoja niulize