Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari kabisa ila hivyo vitu tuliingia navyo kibishi hasa kwenye sindiria unaondoka shule kwenda hosp kifua kidogo unarud pametuna kwa asiyekufaham anahisi ni maziwa yako yapo hivyo kumbe kuna magenfo humo hahaha
Acha tu,ukitaka vitu mjini unasema unaumwa mkipelekwa hospitali mda wa kwenda kula ndo muda wa shoping huo,mkirud shule mlinzi mwanaume haruhusiwi kuwakagua[emoji23][emoji23][emoji23]ndo mnapenya hivyo
Yale maisha hapana kabisa
 
Back
Top Bottom