myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Acha tu,ukitaka vitu mjini unasema unaumwa mkipelekwa hospitali mda wa kwenda kula ndo muda wa shoping huo,mkirud shule mlinzi mwanaume haruhusiwi kuwakagua[emoji23][emoji23][emoji23]ndo mnapenya hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari kabisa ila hivyo vitu tuliingia navyo kibishi hasa kwenye sindiria unaondoka shule kwenda hosp kifua kidogo unarud pametuna kwa asiyekufaham anahisi ni maziwa yako yapo hivyo kumbe kuna magenfo humo hahaha
Mkoromije nimemshindwa mimi[emoji23][emoji23]Nyie watoto mnajilipua siku hizi.Jana ilikuwa zamu ya Numbisa na Pyaar,kaka yenu ndo kabisaa ni deile...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] limenitoka bahati mbaya.Eti kinini hakinati?
Nipeee ubuyuu shoooKutoka kwa Somo: wanaume wa JF ya sasa waache utoto!
Kumekucha mtaa wa jirani
Mimi najiripuaje deile jamani?Mkoromije nimemshindwa mimi[emoji23][emoji23]
Kwema shem??
[emoji736][emoji736][emoji736]