myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku unakua mkubwa
Hahaha ya kwetu ya masista tulikua tunaenda wenyewe hosp ila sasa kurud wale wanawake bana halafu wanachamba hao kama wanaish uswaz,wanapekua vizuri tu wanasahau kifuan.ila typhoid ndo ilikua dili maana unatakiwa unywe maji mengi baasi unasingizia dokta katoa ruhusa ya matunda na juisi huku ukionyesha mavidonge 60 ya typhoid ruksa inatolewa ee bana ee hapo unakua na order ya watu maana ni zamu zamu kusingizia typhoid hivyo unanunua juis na matunda ya watu hata watano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu,ukitaka vitu mjini unasema unaumwa mkipelekwa hospitali mda wa kwenda kula ndo muda wa shoping huo,mkirud shule mlinzi mwanaume haruhusiwi kuwakagua[emoji23][emoji23][emoji23]ndo mnapenya hivyo
Yale maisha hapana kabisa
Tungeenda wapiiiiHahahahaha pole sana ningekuwa Dodoma ningekutoa out
MkuuAsavali,kumbe nimepatiamo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha ya kwetu ya masista tulikua tunaenda wenyewe hosp ila sasa kurud wale wanawake bana halafu wanachamba hao kama wanaish uswaz,wanapekua vizuri tu wanasahau kifuan.ila typhoid ndo ilikua dili maana unatakiwa unywe maji mengi baasi unasingizia dokta katoa ruhusa ya matunda na juisi huku ukionyesha mavidonge 60 ya typhoid ruksa inatolewa ee bana ee hapo unakua na order ya watu maana ni zamu zamu kusingizia typhoid hivyo unanunua juis na matunda ya watu hata watano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nampenda sana huyu bidada