Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu ukute tumesoma shule moja heee yaishe bana. Ya buyenze asije tudabua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti eeh??
Halafu nilijikuta naandika jina la hospitali,nikashtuka na kufuta fasta
Hii stori imeisha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema baba wa mtoto wa Kichina aliyesambazwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya mama yake kufika ofisini kwake akidai kutelekezwa, anatafutwa.

Makonda ameyasema hayo leo Aprili 14 katika mahojiano maalumu yanayorushwa na televisheni ya TBC.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema, anayeona amefanya operesheni yake kwa kukurupuka ni mtenda dhambi.

Ameyasema hayo leo Aprili14, katika majohiano maalum yanayorushwa mubashara na televisheni ya TBC na kusema kuwa iwapo kesi zote za wenza hao zingepelekwa mahakamani, zingechukua muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…