Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wale wote wangeenda mahakamani unafikiri ingechukua muda gani, pale kuna kesi zimesuluhishwa ndani ya muda mfupi na zimesha.”

Amesema mwanamke mnyonge hataweza kumudu gharama za mawakili kwa sababu
 
Wale wote wangeenda mahakamani unafikiri ingechukua muda gani, pale kuna kesi zimesuluhishwa ndani ya muda mfupi na zimesha.”

Amesema mwanamke mnyonge hataweza kumudu gharama za mawakili kwa sababu ili asaidiwe ni lazima we na fedha.
 
[emoji1]
IMG_20180414_202612.jpg
 
Kadhalika amesema suala la wanaume kuwapa mimba wanawake nje ya ndoa au wafanyakazi wa ndani ni matokeo ya kutotumia kinga.

“Halafu wanataka niendelee kufanya mambo kwa maficho ili wao waendelee kuwapa watu ujauzito na kuwatelekeza,” amesema na kuongeza:
Duh!! Ngoja tusuburi takwimu zijazo kwamba kuna upungufu kiasi wa mimb@ za aina hiyo
 
Back
Top Bottom