Salama kabisa kiongozi.Hii ID sijawahi kuiona nje ya hapa,
Habari yako Mkuu hebu tufahamiane basi,,,
Huo mtihani mwingine tena.Kuwa pata hao raia kumbe prosesi ni ndefu hivyo?!!!Mwambie najitolea kumfundisha kubana pua,swali ni je,swaga za kuvaa visuruali vinavyobana na kuchanika ataweza?
[emoji23][emoji23][emoji23]ungeenda kwa wadada wa mjin?Dahh!!! Ila nisinge enda kwa huyo,mimi sio muumini wa wanao jinyima kula.Labda breki ya kwanza ingekuwa kwa Snura wa chura,pili Kajala,tatu Mayasa na nne labda Irene Uwoya...Napendaga vinono vinono mkuu
Unapenda vya mafuta,,,Dahh!!! Ila nisinge enda kwa huyo,mimi sio muumini wa wanao jinyima kula.Labda breki ya kwanza ingekuwa kwa Snura wa chura,pili Kajala,tatu Mayasa na nne labda Irene Uwoya...Napendaga vinono vinono mkuu
Sawa mkuu, tuko pamoja japo jina lako ndiyo gumu.Salama kabisa kiongozi.
Huwa natoka huko kwingine napita kimya kujiongezea maarifa
Zuma, "chuma"Marais wa zamani Jacob Zuma na Thabo Mbeki pia walishiriki. Lakini waombolezaji bila kujali huzuni zao walimzomea Zuma alipotangazwa kutambua uwepo wake.
Watu kadhaa mashuhuri kutoka nje walihudhuria wakiwemo viongozi wa Namibia, Swaziland na Jamhuri ya Congo, pamoja na mwanaharakati wa haki za binadamu Jesse Jackson wa Marekani. “Huyu ni mama halisi wa Afrika Kusini,” Jackson aliwaambia wanahabari.
Kwahiyo unataka kuniambia mkikaa na watoto wa kiume mnawaambia upi mchele na ipi ni pumba??Sijajua aisee,,, ila kuna ugumu flani,, unakuta mshua anaona aibu,, kuna maneno hayatamkiki mbele ya mwanae wa kike
Jamaniiii !!!Hahahahahhaa yaan lile gazet la mwaka haha