Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,070
- 1,816
#
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Jamaniiii !!!
Si ajabu umeliskrini shoti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salama kiongozi, kwema?
Afadhali nimekuona,kuna uzi ulianzisha na izzo kama sikosei,niliusoma kidogo sana majukumu yalinitinga.Naupataje? Heading nimeisahau
Nipo Malcolm mambo!Ledada upo aisee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hapo avatar yake ni wezele kubwa la mwanamkeId zingine bwana. Eti Muosha Rungu. Halafu unataka watu wakuchukulie siriazi...
Eeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] waninyonyooooee mpaka waseme basi[emoji23][emoji23][emoji23]ungeenda kwa wadada wa mjin?
Mimi lipo kwenye mafaili yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hamna nimeliacha tu hapo hapo lilipokua
Na wewe umeskrini shoti? Mna nini lakini nyie?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Weseee baba,weseeeee....Unapenda vya mafuta,,,
Hahahahaha,Fatilia hasa interviews za muosha rungu
Anajua kilicho nyuma yake au amefokasi kwenye kukata gogo tu?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hyo pink balaa tupu,,,rangi ya kufuli la kivuruge
Ile bana nilidhan weekend ntapata nafasi ila duh hamna maana likes zitanipita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi lipo kwenye mafaili yangu
Nikipata na ile picha ya suruali ya kitambaa baaasii[emoji23][emoji23]
[emoji7]