Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yuko poa ila tatizo lake hadumu kwenye mahusiano na karibu kila aliyekuwa naye kamtungia wimbo ila inaelekea kama 15 minutes zake za kuwa famous zimepungua kasi kwani kwa mara ya kwanza washabiki wake wanalalama bei ya viingilio kwenye concerts zake iko juu sana na wengi wataingia kwenye hizo concerts zake later this year wanadai hawaendi kumuona yeye bali Camilla.

Nampenda sana huyu bidada
 
7c175d53-f859-4b17-9772-20be626bf1c3.jpg
 
Na kwa watu kama hao ajue tu anapangwa,foleni ni ndefu sana
Kabisa ila nao wanaumozwa vibaya. Uwoya kama joket nae alikua na mahusiano na jamaa baada ya kumtosa ndiku basi jamaa alikua anajenga bonge la nyumba,uwoya akawa kazi yake kusimamia ujenz na kulipa vibarua,mwisho wa siku akaolewa mwingine,bidada alisala na kwenda kuanzisha ugomvi
 
Tukumbuke kuwa mila za baadhi ya makabila huko nyuma zilishinikiza na hata kulazimisha uwekwaji wa tattoo kwa wanajamii wao. Kwa mazingira ya sasa mila hizo zina haja ya kuangaliwa upya.

Ipo haja ya msingi ya kulinda watoto dhidi ya uchoraji tattoo hasa zile za kudumu. Ili mtoto achorwe tattoo sharti mzazi au mlezi kuwapo wakati wa uchoraji wa tattoo za muda kama hina kwa watoto.
 
Back
Top Bottom