Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hadi kaamua kustaafu muzik kwa muda[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani
Mpumzisheni kivuruge wa watu,kavurugika vya kutosha wiki hii
Mambo ni Fresh kama Cucumber aisee!🙂🙂Nipo Malcolm mambo!
[emoji3][emoji23][emoji28]Anajua kilicho nyuma yake au amefokasi kwenye kukata gogo tu?
Sema haya mambo inabidi yawekwe wazi kwa watoto.Huko mambo yote yanakuwa wazi,,, tena kuna wazee wengine wanaongea ukweli mtupu
Aisee!!! Wangemuacha sasa.Imekuwa kama sehemu ya kujifunzia kukata mauno!Ukigawa sana unachokwa na wote
Asipopungua uzito, sijui![emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani
Mpumzisheni kivuruge wa watu,kavurugika vya kutosha wiki hii
Unakuwa ka betri la tiger[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu na rangi ya ngozi yangu ilivyo fubaa kwa ueusi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ningendako shuainii kabisa
Likes zinaendelea
Aliyepiga picha ndiyo ana matatizo aisee!
Yupo kiumbe mwingine anatabia kama hii, yeye anaitwa tai! Anaishi miaka 70 iwapo atanusurika na stage hiyo ya kuurudia ujana aki shindwa huishi miaka 35 tu anakufa! Tofaut na nyoka yeye imewekwa bayana, anakufa!Ni nadharia lakini inaakisi maisha halisi
Ana uzito wa kupungua yule? Au mnaongelea nini? Kitako kile kipungue tena sasa kitabaki nini?Asipopungua uzito, sijui!
Na kwa watu kama hao ajue tu anapangwa,foleni ni ndefu sanaNapo awe anamilik mguu wa kuku la sivyo wanamuwahisha kumuona izirail mapemaa kwa puresh za fumaniz kila kukicha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ana uzito wa kupungua yule? Au mnaongelea nini? Kitako kile kipungue tena sasa kitabaki nini?