Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kucheka wanadai kunaongeza life span Mkuu hongera zako. Niko hapa nafanya vijishughuli shughuli vya ndani kabla ya kuanza kuangalia NBA playoffs Warriors na Spurs.

BAK BAK in da house......!
Hii kauli yako imenichekesha sana....
😀😀😀😀😀
 
Ana uzito wa kupungua yule? Au mnaongelea nini? Kitako kile kipungue tena sasa kitabaki nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaani hapo tu ndo huwa ananifurahisha.
Nikisikiza nyimbo zake nabaki nacheka.
Sema kila watu za zama zao,yawezekana mda wake uko ukingoni sasahivi na hayo malalamiko ndo njia yenyewe hiyo.

Sema u
Mwanaume anaye date na huyu bidada inabidi ujiandae mapema kusubiri wimbo wako mkiachana
 
Kurimbasi ni mmea wa msimu, hukua karibu na nyumba na una harufu nzuri, watanzania wengi hawaujui mmea huu vizuri lakini wahindi, wagiriki na wazungu wanaujua vizuri sana.
Jina la kibotania huitwa Ocimum basilicum. Waingereza huita Basil, wagiriki huita Basilikon yaani mmea Mtukufu.
 
Na inasemekana asili yake ni India, pia una majina mengine common basil, sweet basil, Garden basil, great basil na saint Joseph’s-wort.
Mmea huu una protini, vitamin A, vitamin B6, vitamin C, vitamin E, vitamin K, Riboflavin, Thiamine, Niacin, Folate, Choline, Calcium, Magnesium, Chuma, Phosphorus, Sodium, Manganisi, Potassium na Zinki kidogo. Mmea huu hutibu maumivu ya tumbo, usagaji wa chakula, mfumo wa neva, kuondoa gesi tumboni, Colic, mafua, influenza, kichefuchefu, gastro- enteritis, kipanda uso,uchovu, sonona, kukosa usingizi, kikohozi, kumbukumbu, kuongeza utokaji wa mkojo, wasiwasi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…