capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Am still single bcause,Weddings are expensive, and I have expensive tastes in consumption cases like clothes, footwear etc.Nipo kwenye mahusiano kwa sababu napenda kudekaa na kudekezwaa
Napenda kumpenda mpenzi wanguuView attachment 744570
[emoji23][emoji23]sikupita huko,ngoja nirudi mweeeView attachment 744696[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na jana ilikuwa hivi....
Wa wachawi!Teh teh teh teh teh! Wee jamaa bwana!
Sasa na wewe ni mchawi ???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wa aina hii weka mbali na watotoSimba mwenda pole windo likija kushtuka ni vu bin vu 3D laivu...
Hatari sana simba wa aina hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti ugumu[emoji57][emoji57][emoji57]
Nipo maa wewe ndo sikuoniShwarii
Unaadimika sana
Anaweza kuwa anatafuna hata mkeo na ukiambiwa na watu utakataa kwa jinsi jamaa alivyo mpole na mkimya. Hatari sana !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wa aina hii weka mbali na watoto
Maisha shemeji. Maisha !!!Leo mmh!!
Hiyo ndo hatari zaidi wazazi mkija kushtuka mnalea mimba za mabinti nyumbani.Wasipofundishwa na wazazi watafundishwa na TV na video games....
Niko mamy. Mbona sikuhizi hapa ndo kijiweni sema sikuhizi hapa waonekana kwa machaleNipo maa wewe ndo sikuoni
Wajifichia wapi niwe nakufuata huko?