Teh teh teh teh teh! Wee jamaa bwana!Bila uchawi hamna kitu!
Simba mwenda pole windo likija kushtuka ni vu bin vu 3D laivu...Weeee achana na jirani[emoji23][emoji23]
Jirani wamoto hatari
Kweli kabsa,,elimu km hii inatakiwa kwenye jamii vtu viwe wazi kuokoa kizazi hkSema haya mambo inabidi yawekwe wazi kwa watoto.
Hii elimu itolewe na wazazi wote kwa watoto wote pasi na kupepesa macho.
Kizazi chetu hiki kina mitihani mingi sana,si salama kama cha mabibi na mababu zetu
Achana na anacho kihisi Numbisa.[emoji23][emoji23][emoji23]yaani acha tu,hadi niipate nina shida na yale maandiko
Hiyo hapo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hebu nitumie kule hako kagazeti ka jana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Gudi kwesheni ila jiandae. Ignore list itakuhusu muda si mrefu [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Teh teh teh teh teh! Wee jamaa bwana!
Sasa na wewe ni mchawi ???
ShwariiMiss you too li
Mambo
Eti ugumu[emoji57][emoji57][emoji57]Sio wanaume wote bhana! Tupo wanaume wengi tu wenye mibusara, tatizo UGUMU! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
Wasipofundishwa na wazazi watafundishwa na TV na video games....Kweli kabsa,,elimu km hii inatakiwa kwenye jamii vtu viwe wazi kuokoa kizazi hk