carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Tanesco wameamua kukaza daah!!
Kulala kwa lazima[emoji24][emoji24][emoji24]
Kulala kwa lazima[emoji24][emoji24][emoji24]
Unaikumbuka? Unaweza kuweka samare yake hapa?Hahaha!! Umenikumbusha hadithi moja niliwahi simuliwa iliitwa Shing'weng'we..
Haina hata kitu,tunahangaika tu.Picha ilikuwa inahusu nini?
Andjul, hebu iweke hiyo picha tena. Kwa nini watu wahangaike hivi?
Mechi saa 21:45 dakika 3 zijazoYamefanyaje tena?
NjooBasi naja
PoleeeTanesco wameamua kukaza daah!!
Kulala kwa lazima[emoji24][emoji24][emoji24]
Naomba uniwekee matokeo baadaeMechi saa 21:45 dakika 3 zijazo
SanteeePoleee
Aaah! S...K,Chaidia machkini....Chaidia baba!
Usijali hope Leo MC watatangazwa ubingwaNaomba uniwekee matokeo baadae
Siikumbuki fresh, nilikuwa darasa la 3..Unaikumbuka? Unaweza kuweka samare yake hapa?
Unataka kufika hapa nilipo ???Nipe mbinu ya kufika hapo ulipo..
[emoji28][emoji23][emoji3][emoji23],, Mmmmh huko unakonipeleka si utanipoteza kabisa..Unataka kufika hapa nilipo ???
Acha kazi na anza kunywa pombe siku nzima.