Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Acha tu shemeji. Mashing'weng'we....!!!Uko deep leo
Acha tu shemeji. Mashing'weng'we....!!!Uko deep leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Yule anashida mahali.
Kunasiku walimtolea uvivu wakamchana akapanic kwanini wanamsema na yeye kaamua kuweka avatar ya kike[emoji23][emoji23]
Mwenyewe anasema ni mwanaume wa nguvuAhhhh hivi yule bwana mdogo ni Mwanaume au Mwanamke ???
Afternoon, ndio jua la utos hapa Jupiter, huku vp, wazima?Yes Danpol
Natamani nijue maana kuna mtu humu ni mkorofi[emoji23]Hata sijui [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaha! We wamwona yupo??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti hatuna mtu kabisa, kwahiyo huyo n upepo huo
Basi najaKwangu upo njoo.
Nanunua mwingine hapa
Ha hah najaribu kuzoea kutoa majibu ya kwanin upo single mkuu, popote mtu akiuliza stak kung'ata lips.Vita kimya kimya mkuu
YesAfternoon, ndio jua la utos hapa Jupiter, huku vp, wazima?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ututag woote humu tuiangalie tena kwa umakin mkubwaKuna siku itabidi nijitose tu kuitafuta,naimani nitaipata
Na nikiipata sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
ngoja nikaangalie tenaHahaaha! We wamwona yupo??
Hebu tujumuike wote basiAcha tu shemeji. Mashing'weng'we....!!!
Ngoja nikutafutie matokeoNatamani nijue maana kuna mtu humu ni mkorofi[emoji23]
Mirinda nyeusi ndio (Soda)Unaona sasa, bado unapiga mulemule; Mirinda nyeusi? [emoji1][emoji1]