Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Numbu ni zao linalopatikana katika nchi za Tropiki.Hapa Tanzania hupatikana katika mikoa ya Mbeya na Njombe.Na zipo numbu aina zaidi ya tatu.Zipo zinazoliwa mbichi na zinazopikwa.Jina la kibotania huitwa plectranthus esculents.Waingereza huita Livingstone potato.Wasafwa huita numbu.Wanyakyusa huita Njobela.Pia numbu hupatikana nchini Malawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…