Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Moja ya jambo la kushangaza kuhusu numbu kabila la Wasafwa mtu akiwa mgonjwa humpatia numbu ale na mgonjwa akikataa kula numbu hupata mashaka ya kupona maradhi yanayomkabili.Kwa lugha rahisi husema mgonjwa atakufa.Numbu ukila huleta hamu ya chakula, numbu zina vitaminiA,
 
wanga na madini kwa hiyo hufaa sana wakati wa upungufu wa chakula,Huongeza maji mwilini,Huimarisha mifupa,Hupunguza Homa,Hushusha mapigo ya juu ya moyo,Numbu zina ubaridi kwa hiyo zinafaa sana kuliwa wakati wa jua kali ili kutuliza kiu cha maji,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…