Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

c) Barua binafsi ya mfadhili kwenda ubalozi wa Marekani
- Ikieleza wapi hasa mgonjwa atafikia wakati wote ambao atakuwa anahudhuria matibabu.
- Ikielezea kwa nini ameamua kumfadhili mgonjwa (mwombaji wa viza), Historia kamili ya uhusiano wao, ni wa vipi na ulianza linin a anatarajia kupata nini kutokana na ufadhili wake.
 
Makadirio ya juu na ya chini ya gharama za matibabu (Ada ya daktari, ada ya hospitali, gharama za vipimo, gharama za dawa na gharama zote zitakazohusiana matibabu)
- Uhakika kwamba gharama za matibabu zitalipwa na fungu lipo tayari kwa ajili ya kugharamia.
- Tarehe maalumu ya ahadi.
 
Back
Top Bottom