Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Meka
Hakuna kitu kama hichoHahahahaaa
Tutawafunga vibaya nyie hamta amini
Good afternoon my dear
Kwema mkuuNipo mkuu,kwema?
August Alsina - BenedictionAugust Alsina -she loves me like a p star
Kwanza mnadani next tunamalizia kiboTungeenda wapiiii
Hamna cha swimming!Good afternoon my dear
Jumapili wapi swimming leo
Majeuri sana haya masetaMaseneta wa Marekani walimbana Zuckerberg wakitaka aeleze jinsi kampuni yake ilivyokuwa ikitunza taarifa na siri za watumiaji wa mtandao wake.
Nzuri kabisa benten mzima?Majeuri sana haya maseta
Habari za Jumapili Numbisa
Ushamba mzigo sana akimpata nitagMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema baba wa mtoto wa Kichina aliyesambazwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya mama yake kufika ofisini kwake akidai kutelekezwa, anatafutwa.
Makonda ameyasema hayo leo Aprili 14 katika mahojiano maalumu yanayorushwa na televisheni ya TBC.