Kama mimiNasubiri kuona mwisho ya hii movie yake
Salama mkuu...siku yako inaendajeHabari za Jumapili Myoya
Mkuu habari za JumapiliLedada upo aisee!
Yaani kweli kabisa hata Mimi siwezi nawaachia mama yao na bibi zao na mashangaziHalafu kwanini huwa ni vigumu wababa kuongea na watoto zao kuhusu elimu ya afya ya uzazi?
Hatari kweliWazungu wanajaribu silaha zao huko Syria
Za siku nyingi mkuu? Twins wetu wanaendeleaje? Bila shaka wamekua sasa. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Gem ya toti na city ilikuwaje wazee..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Watu wa Masaki kwa vituko bwana !!!Nzuri kabisa benten mzima?
Nani huyo?Bye bye baba ufike salama Moshi kesho kwenye nyumba ya mwili wako tu!
Hakika roho yako iko nami baba yangu mpendwa!
Raha ya milele umeangazie ehh Maulana Mola wangu!
Apumzike kwa amani yote!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema watu wa kayenze bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Watu wa Masaki kwa vituko bwana !!!