ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
Doh hapana kwa kweli BAKHahahahahahaha lol! Habari ndiyo hiyo ledada
Doh hapana kwa kweli BAKHahahahahahaha lol! Habari ndiyo hiyo ledada
Doh hapana kwa kweli BAK
Woow.....I love this song
Naupenda[emoji813]I don' t wanna miss a thing
Kama mimi ndio nausikiliza hapaNaupenda[emoji813]
Two kids .. boy & girl.Naa i don't
Huhuhu kwani how many do you have?
Wee siku hizi maongez marefu ni muda wa kusuntana ,kuchambana tu . salamu pesa shikamoo kelele tu.
Aisee ndo utandawazi lakini.Mambo ya faragha mengi yanashangaza sana na mengi tulikuwa hatuyajui lakini thanks to mtandao siku hizi tunaona vitu unabaki unabaki kukodoa macho na kuachwa mdomo wazi huku ukiuliza, "They do that too?"
Siku njema huonekana asubuhi... Pia siku mbaya huanza asubuhi....ni uamuzi wako kujitengenezea siku yako vile unavyopenda iwe...tizama mikono yako, shukuru Mungu kwa siku njema, ombea ulinzi, kazi ya jasho na mikono yako...mambo yatakuwa mema tu... [HASHTAG]#AsubuhiNjema[/HASHTAG]