Oh siamini
Kama tuko wote
Kama tuko wote
Mimi na wewe
Wajua pendo letu lilipotoka
Ni mbali sana mpenzi siwezi sema
Milima na mabonde mengi tumeshuka
Oh, maneno mengi walisema, kote bara
Na visiwani oh oh oh
Kindani cha moyo wangu oh oh oh
Sogea karibu yangu oh oh oh
Maneno ya kweli kwako oh
Siamini
Vipi rafiki za mida?Rafiki
Ha hah . . thats not what i meantWow Hongera
Basi namuomba huyo baby girl
Vuli ndlela wemamgobhozi
He unyana wam
Helele uyashada namhlanje
Vuli ndlela weMaNyawuza
Msuba nomona
Unyana wami uthathile
Bengingazi ngiyombon'umakoti
Unyana wam eh ujongile this time
Makgadi fele usenzo s'cede
Uzemshadweni ngiyashadisa namhlanje
Bebesithi unyana wam lisoka
Bebesithi angeke ashade vul'indlela
Huyu aliye anzisha huu uzi Mungu anakuona [emoji38]
Amepotelea wapi huyo Man uuuu
Ooii! Kiongozi tuko pamoja
Leo nimejiweka kando kabisa,, sitaki kusikia wala kucheck mpira..Niko poa mrembo nafuatilia hii game ya MANU kwa makini.