BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Wanastahili sana kupiga hizo pesa maana mionekano yao sio kitoto kiongozi wanguMtandaoni Mkuu, acha watu wawe addicted na hii kitu. Na baadhi ya hawa warembo wanapiga pesa ndefu sana kwa kutumiwa na baadhi ya makampuni makubwa kutangaza products zao mtandaoni na wengine wakifanya ile biashara maarufu duniani kwa miaka mingi sasa.
Unahangaika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani na hivi unaongea hivi ndo nazidi pata hamasa ya kuitafuta.
Najitolea kuti kwenda kazini kesho nitafute ile picha[emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa yuuuu shemejii
Hivi songea ndo "downtown"??nauliza tuWanakuandama wanajua yale anayoweza kuyafanya andaeitini wewe huwezi fanya! Songea kwenyewe huwezi kwenda wewe, halafu hata mbio za 5K huziwezi, sasa kwa nini wasikuandame? [emoji134]♂️[emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Nipo Nipo
Wanastahili sana kupiga hizo pesa maana mionekano yao sio kitoto kiongozi wangu