MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Movie gani?Njoo tuangalie movie
Huwa naipenda sana hii
Wanakuandama wanajua yale anayoweza kuyafanya andaeitini wewe huwezi fanya! Songea kwenyewe huwezi kwenda wewe, halafu hata mbio za 5K huziwezi, sasa kwa nini wasikuandame? [emoji134]♂️[emoji1550][emoji1550][emoji1550]Kwa hiyo hata vikitokea viboi vyenu kuwatoa auti mtakataa kisa suruali ya kitambaa inatafutwa? Kwani Numbisa aliona nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nicheke mimi na uzee huu kuburuzwa na viandaeitini.
Halafu,mbona akina Yego wenzenu wapo wengi tu,whaii mmeniandama sana? Au kuna lisaksafoni limevimba au limetokeza kwa mbele? Mniacheee mniacheee...
Hata mimi nipe Hongera mkuu....!
😀😀😀
Una haraka sana...1-2
Braza
Unadanganya umma
Dogo mmbeya huyu
HahahahayaUna haraka sana...
NimekusomaHalftime 2-1
[emoji106][emoji106]Nimekusoma
Msanii wa Bongo flavor akitoa single lazima alale naye angalau usiku mmoja kwa udhamini wa Clouds, unadhani nani amfanye mke mwanamke kama huyo?Aisee!!! Wangemuacha sasa.Imekuwa kama sehemu ya kujifunzia kukata mauno!
Wee andaeitini, Songea ni wapi huko? Ninong'oneze kidogo mimi ni ndugu yako,si ajabu raha za dunia zinanipita kifala fala tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanakuandama wanajua yale anayoweza kuyafanya andaeitini wewe huwezi fanya! Songea kwenyewe huwezi kwenda wewe, halafu hata mbio za 5K huziwezi, sasa kwa nini wasikuandame? [emoji134]♂️[emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Mh! Alikuwa[emoji91][emoji91]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]Asipopungua uzito, sijui!