Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20180414_221257_881.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakaa nayo kimya kimya,hachelewi kuniambia "unahangaika"
Kwa hiyo hata vikitokea viboi vyenu kuwatoa auti mtakataa kisa suruali ya kitambaa inatafutwa? Kwani Numbisa aliona nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nicheke mimi na uzee huu kuburuzwa na viandaeitini.
Halafu,mbona akina Yego wenzenu wapo wengi tu,whaii mmeniandama sana? Au kuna lisaksafoni limevimba au limetokeza kwa mbele? Mniacheee mniacheee...
 
Back
Top Bottom