Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Unasema kweli??? Hahahaha aaaa kumbe nawaogopa nyie mwanicheka ki-Magu's voice "hiiiiiiiii"Kangetulia saiv kangekua ka mrs machache
Weekend inabamba mbayaa and am gud[emoji5]Poa kabisa Treezzy namshukuru Mwenyezi Mungu, za kwako na za weekend?
Weekend inabamba mbayaa and am gud[emoji5]
Duh!!! Maisha ya geto raha sana,unit 75 haziishi kwa mwezi?Me mbona nilinunua mwezi huu nikapata 77?simepunguzwa kuanzia lini??
[emoji38] [emoji38]Wala sina matumizi ya maana
Jumatatu naenda tanesco wanataka kukuzia uchumi luku yangu
Teh teh teh teh![emoji28][emoji23][emoji3][emoji23],, Mmmmh huko unakonipeleka si utanipoteza kabisa..
Good Girl,Hata ladha ya pombe siijui.