Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

472d611d-049f-4726-bb0d-d3490e8f302e.jpg
 
Wee andaeitini, Songea ni wapi huko? Ninong'oneze kidogo mimi ni ndugu yako,si ajabu raha za dunia zinanipita kifala fala tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ni bora raha za huko zikupite, ukizijua utaua hao wapwa zangu kwa njaa! Chezea kwenda Songea/downtown wewe! Vipi kwema lakini? [emoji1][emoji1]
 
Mchicha nafaka umekuwa ukilimwa na wa Aztecs miaka 8000 iliyopita huko Mexico na Peru. Siku hizi unalimwa Afrika, India, China, Russia na Amerika ya kusini na Kaskazini. Hapa Tanzania unalimwa kidogo sana labda kwa kutokujua faida zake kiafya.
 
Mchicha nafaka ni mchicha ambao umefanyiwa utafiti na kuonekana kuwa mbegu zake zinaweza kutumika kama chakula. Mchicha nafaka unaweza kutumika kama mboga za majani na mbegu. Mchicha nafaka ni nafaka bora katika ulimwengu huu kwa sasa.
 
Mchicha nafaka ni chanzo kizuri cha Protein,Calcium, Chuma, Magnesium, Potassium, Phosphorus na vitamin A, C na E na Amino acids, lysine kutoka katika kiwango cha AMINO ACID (Mchicha nafaka una Amino acid 19% na unaweza kutengeneza lysine kiasi cha 5.9-7.1 ukilinganishwa na Maharage ya soya yenye kiwango kikubwa AMINO ACID(3%) lakini yanaweza lysine kiasi cha 2.3 tu (lysine ndiyo inayohusika na kinga mwilini).
 
Tukumbuke kuwa mila za baadhi ya makabila huko nyuma zilishinikiza na hata kulazimisha uwekwaji wa tattoo kwa wanajamii wao. Kwa mazingira ya sasa mila hizo zina haja ya kuangaliwa upya.

Ipo haja ya msingi ya kulinda watoto dhidi ya uchoraji tattoo hasa zile za kudumu. Ili mtoto achorwe tattoo sharti mzazi au mlezi kuwapo wakati wa uchoraji wa tattoo za muda kama hina kwa watoto.
Wanyaturu, wagogo, warangi, wandengereko, wamakonde na wale wengine wanaovunja jumba la konokono ile waweke huko tatoo.[emoji3] [emoji3] [emoji3] Pumbavu zao[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mchicha nafaka una protini ya Albumins na Globulins ikilinganishwa na protini iliyomo kwenye ngano itwayo Prolamins ambayo ni ngumu na kusagika. (More soluble and digestible). Mchicha nafaka una vitamin E sawa na mafuta ya Mzeituni (Olive oil).
 
Mchicha nafaka ni chanzo kizuri cha Protein,Calcium, Chuma, Magnesium, Potassium, Phosphorus na vitamin A, C na E na Amino acids, lysine kutoka katika kiwango cha AMINO ACID (Mchicha nafaka una Amino acid 19% na unaweza kutengeneza lysine kiasi cha 5.9-7.1 ukilinganishwa na Maharage ya soya yenye kiwango kikubwa AMINO ACID(3%) lakini yanaweza lysine kiasi cha 2.3 tu (lysine ndiyo inayohusika na kinga mwilini)
 
Magonjwa ya moyo (Cardiovascular disease (CVD) Maumivu ya magoti ,maumivu ya vidonda vya koo (mdomoni), Baridi Ya bisi ,minyoo aina ya tegu , kansa ya tumbo ,maziwa ,koo, mapafu nk, kupunguza uzee (Vitamins), Magonjwa ya ngozi ,kuzuia meno kupata kutu ,shinikizo la damu,Huzuia mwili kufa ganzi , Huzuia udhaifu wa misuli
 
leremu(cholesterol) kwa sababu ya kuwemo ndani ya mchicha nafaka tocotrinols na phytosterols, zinazoondoa lehemu mbaya mwilini. Ugonjwa wa Celiac na matumizi ya mchicha nafaka umethibitika kuwa unaongeza kinga ya mwili (CD4) kwa waathirika wa Ukimwi nk
 
Back
Top Bottom