Nashukuru kwakweli siku iko salama kabisa[emoji120][emoji120]Unahangaika.
Safi kabisa mama,jumapili imekwendaje?
Tuendelee kumtegemea Mungu kwa kila jambo[emoji120] [emoji120]
ManU wamelala 1-0
Siku imeisha kiutani utani
Ila mjini si hami. Wanaosema turudi kijijini wao wanakomaa na jiji