Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaan mimi nina makabila kama 10 hivi na zaidi,kila nikiamka ninalo jipya[emoji38][emoji38]

Habari ya jumapili shem
Kama ni hivyo basi tutasifia mpaka tuchoke. Huku kwema. Leo nimehubiriwa neno limeniingia mpaka rohoni kabisa. Ni kama vile mchungaji alikuwa anaongea na mimi. Mpaka nimeogopa. Halafu kanisingo out na kuniambia nisimame. Mpaka sasa bado naelea katika upako na siko sawa shem...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…