Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Basi wewe siyo shabiki wa kweli. Wengine unakuta hapo pia alibeti sasa maumivu dabo.

Afadhali dhahama hii ya ushabiki wa mpira ilinipita kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na uzuri sinaga tabia ya kubet na mtu zaid yako humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna kipind nilikua addicted hivyo nilikomaje nikaona hee ntakufa kwa presha nkapunguza kuchek laiv mechi matokea nayapata humu humu ndo maana siumii
 
Anza kukumbuka matarajio yako mwenyewe ni yapi.
Kuna maneno matatu yanayopendwa kutumiwa kurahisisha tafsiri ya maisha: ISHI, FANYA na PENDA ili uwe na furaha katika maisha yako sababu uhusiano waweza kufa muda wowote ila utaendelea kuishi na nafsi yako mpaka pale maisha yako yatakapoishia.
 
Back
Top Bottom