Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sawa mkuu....
Hawa mashabiki nawaonea huruma kweli mtu unawezà kosa raha kisa mpira yeeebaaaa mie nakula likes tu raha mustatehe siku inapita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UNAANGALIA WATU WENGINE KUKUPA MAJIBU YA MASWALI AMBAYO UNGEJIJIBU MWENYEWE.




Wakati tulipokuwa wadogo, uwezo wetu wa kujiamulia mambo yetu ulikuwa mdogo na wakubwa zetu walibeba hilo jukumu la kutuamulia kipi cha kufikiri,
kipi ni chema na nini maana ya kufanikiwa.
 
Sasa ushakua, hupaswi kuendelea kuishi utegemezi wa fikra tena katika maisha yako.
Kuwa huru jivue gamba la utegemezi ili uanze kutumia ubongo wako katika kutoa majibu ya maswali yanayokukabili kila siku katika maisha yako.
 
Hawa mashabiki nawaonea huruma kweli mtu unawezà kosa raha kisa mpira yeeebaaaa mie nakula likes tu raha mustatehe siku inapita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi wewe siyo shabiki wa kweli. Wengine unakuta hapo pia alibeti sasa maumivu dabo.

Afadhali dhahama hii ya ushabiki wa mpira ilinipita kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom