Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ameeleza namna alivyonyang’anywa samani na muumini wake siku chache baada ya kumkabidhi.
Akitoa mahubiri katika ibada leo Aprili 15,2018 kanisani kwake, Ubungo jijini Dar es Salaam, Askofu Gwajima amesema aliamua kumrudishia muumini huyo na kukubali kuaibika.
Akisimulia kisa hicho mbele ya mamia ya waumini, Askofu Gwajima amesema wakati anaanza maisha na kazi ya kuendesha kanisa hilo, alipanga chumba kimoja katika eneo la Ubungo Msewe.