Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180415-WA0002.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hio haipogo watu wanapenda sana kutoa nasaha na miongozo kwa wengine kuliko majumbani kwao. Mfano mzuri watoto wa waalimu ,wachungaji na masheikh etc wengi micharuko balaa mpaka unashangaa ina maana wazazi wao huwa hawawapi maiwaidha hawa watu
Wewe unaonekana una kamkono kepesi sana kupiga wewe!
Yaani hako katoto kataisoma namba aiseee!
Teh teh teh, Yani wewe ndiyo wale mamaza wanokooo ambao hawachelewi kukusemelea kwa baba!
 
Ujumbe Kutoka kwa Maaskofu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
********************************
Shilingi elfu moja (1,000/=)* na Shilingi elfu kumi ( *10,000/=*) walikuwa *marafiki.*

Siku moja walipata ajali na wote wakafa. Walipofika kwenye lango la *paradiso*,Mungu akamruhusu sh. *1,000/=* aingie.

Sh. *10,000/=* akamuuliza Mungu, Bwana, Mimi nina thamani mara *10* kuliko huyo! Anawezaje kuingia Mimi nibaki nje?.

Kisha *Mungu* akamjibu kuwa, sh. *1,000 * na wadogo zake sh. 100/=, 200/= na 500/=* kila siku wanakuja kanisani, Lakini wewe kila siku unazurura *supermarkets, madukani, masokoni, bar, night club, migahawani na kwenye mahoteli,* kwa hiyo ondoka mbele yangu sikujui.

Tafadhali jamani. Tumsaidie sh. *10,000/=* awe anafika kanisani[emoji120].
Hahahahaa!! Nikitoa 1000 kama sadaka nafsi yangu inanisuta kabisa ..Nakosa amani.
 
Wewe unaonekana una kamkono kepesi sana kupiga wewe!
Yaani hako katoto kataisoma namba aiseee!
Teh teh teh, Yani wewe ndiyo wale mamaza wanokooo ambao hawachelewi kukusemelea kwa baba!
[emoji23][emoji23][emoji23], mama mwenye mkono mwepesi haongei mara mbili unakuwa ushapigwa na kimwiko mgongoni[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23], mama mwenye mkono mwepesi haongei mara mbili unakuwa ushapigwa na kimwiko mgongoni[emoji23][emoji23]

Jamani mimi Maza wangu alikuwa mnoko na Mbabe balaaa......
Juzi ametimiza miaka 81 basi nikawa namkumbushia kuna siku alimpamba Mzee hasira kisa kuna kitu tulipisha naye asubuhi bwana. Akanyamaza nikajua yameisha aiseee ili jioni akategema tumeanza kula ndiyo akaaanza kunokoa aiseee..Nakumbuka nilipigwa vitasa kama kichaa siku ile..Halafu akawa anachochea anasema "Baba Malcom kweli siku hizi umezeeka vibaya, yani unampiga hata haliiiii" Mshua akaanza kunipa Kelubu za maaana, daaah baabae nimevimba akaanza kulia na kunionea huruma tena..Basi nikaongeza kulia nakujifanya natapika maana ningekufa siku ile...Hahahahahaha Love my mama aisee!
 
Back
Top Bottom