MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Hahahaha kusema wewe ni Sponsor..??Maneno yako ndo yamenifurahisha.
Hahahaha kusema wewe ni Sponsor..??Maneno yako ndo yamenifurahisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], Bi mkubwa alitegemea kwa vitasa vya mzee ulie kweli kweli..Aliona kama umepapaswa tu.Jamani mimi Maza wangu alikuwa mnoko na Mbabe balaaa......
Juzi ametimiza miaka 81 basi nikawa namkumbushia kuna siku alimpamba Mzee hasira kisa kuna kitu tulipisha naye asubuhi bwana. Akanyamaza nikajua yameisha aiseee ili jioni akategema tumeanza kula ndiyo akaaanza kunokoa aiseee..Nakumbuka nilipigwa vitasa kama kichaa siku ile..Halafu akawa anachochea anasema "Baba Malcom kweli siku hizi umezeeka vibaya, yani unampiga hata haliiiii".....Hahahaha Love my mama aisee!
Hahaha! Nimefurahi tuHahahaha kusema wewe ni Sponsor..??
Eti ni wese lipi Pyaar? [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23],
Nafikiri ni hilo hilo la kuunga migebuka.Eti ni wese lipi Pyaar? [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Mkuu naona unavuka mipaka kama mkeo yupo hivyo ni yeye sio wanawake wote sawa jiheshimu mbabaWewe unaonekana una kamkono kepesi sana kupiga wewe!
Yaani hako katoto kataisoma namba aiseee!
Teh teh teh, Yani wewe ndiyo wale mamaza wanokooo ambao hawachelewi kukusemelea kwa baba!
Hahahaha,![]()
![]()
![]()
, Bi mkubwa alitegemea kwa vitasa vya mzee ulie kweli kweli..Aliona kama umepapaswa tu.![]()
Selesmen ndo aliyeleta biashara africa ya viatu.?
Love ya kinafiki kuja kumchoresha humu mama ako unahadithia ukidhan ni kitu kizuri kumbe unamdhalilisha umeniboa kweliJamani mimi Maza wangu alikuwa mnoko na Mbabe balaaa......
Juzi ametimiza miaka 81 basi nikawa namkumbushia kuna siku alimpamba Mzee hasira kisa kuna kitu tulipisha naye asubuhi bwana. Akanyamaza nikajua yameisha aiseee ili jioni akategema tumeanza kula ndiyo akaaanza kunokoa aiseee..Nakumbuka nilipigwa vitasa kama kichaa siku ile..Halafu akawa anachochea anasema "Baba Malcom kweli siku hizi umezeeka vibaya, yani unampiga hata haliiiii" Mshua akaanza kunipa Kelubu za maaana, daaah baabae nimevimba akaanza kulia na kunionea huruma tena..Basi nikaongeza kulia nakujifanya natapika maana ningekufa siku ile...Hahahahahaha Love my mama aisee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nafikiri ni hilo hilo la kuunga migebuka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
Heheheh dah hapo nichague nini sijui...!!Choose one.....
View attachment 746183
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakika
Baeeee amekataaaa hatak nifike hukoAisee pole sana...
Sasa mbona unapita juu kwa juu hutaki kufika mjini, au ulishapita?
Heiiiiish, Heiiiish...Good Lord!Mkuu naona unavuka mipaka kama mkeo yupo hivyo ni yeye sio wanawake wote sawa jiheshimu mbaba
Hahah! anawahofia wanaume wa Dar wakati yeye ndio kiongozi wa kuwadiss huko majukwaaniBaeeee amekataaaa hatak nifike huko
[emoji3][emoji3]
Ushauri rahisi kwako:Love ya kinafiki kuja kumchoresha humu mama ako unahadithia ukidhan ni kitu kizuri kumbe unamdhalilisha umeniboa kweli
Safi kabisa mpendwaHabari ya Jumatatu wapendwa wa Mungu?