DohAiseee[emoji25] [emoji25] [emoji25] View attachment 746329
Exactly!![emoji116][emoji116]View attachment 746328
Yeah nadhani ndiyo Movie ambayo DC wamejitahidi sana kwasasa tofauti na zile za The Dark Knight and Dark Knight Rises!Movie yake iko very interesting kwa kweli
Asante sanaMamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari ya mvua inayoendelea kunyesha ili kuepuka majanga.
Akizungumza na MCL Digital leo Aprili 16, 2018; Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk Agnes Kijazi amesema, “Mvua itaendelea kunyesha na hii inatokana na kipindi hiki kuwa na mvua kubwa juu ya wastani.”
Dk Kijazi amesema kwa kawaida Machi na Aprili na zaidi Aprili mvua huwa kubwa juu ya wastani.
Labda ndani hakukaliki au hana pakuishi au maafuriko yamemtenganisha na ndugu zake aisee kuna mengi[emoji20] [emoji20] [emoji20]Aisee si aingie ndani
Duh!Mvua hii hatari sanaView attachment 746338