Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niko powa. Ni JT kweli ama? Kama ni kweli, mbona unanitesa hivi? Nimekukosea nini?
Bila shaka mtarudi mjengoni. Kwangu natimiza wajibu wangu kama mbunge na wananchi wa Kiembesamaki wamenielewa vilivyo.Karibu sana. Jimboni kwako kukoje? 2020 utarudi mjengoni?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alafu madem kaa unajua huna ass.. Sweatpants vaa ukienda kulala... Si kutembeatembea apa ukikaa kama fundi umeme... [emoji23][emoji23]
786
[emoji28][emoji28][emoji23]Wale watu wanasemanga This world is not my home mnarudi kwenu lini? Tunataka kupika gongo kesho
[emoji19]
Hongera sana Mheshimiwa [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Bila shaka mtarudi mjengoni. Kwangu natimiza wajibu wangu kama mbunge na wananchi wa Kiembesamaki wamenielewa vilivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Dame akiteguka mguu tao unaskia dume zikimwambia pole sana madam*[emoji23][emoji23][emoji23] lakini mwanaume akiteguka unaskia zikisema,yule naye anatembeaje? Lazima awe mlevi ama mwizi
wapi numbisa..