Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ripoti inasema kuna vifo 7 vilivyokwisharipotiwa.

1. Morogoro road imefungwa
2. Barabara ya Umoja wa Mataifa (kati ya Salenda na Muhimbili) haipitiki na vibebi woka
3. Njia ya chini Mbezi beach haishauriwi kupita
4. Mbezi Luis njia ya Goba kuna maeneo maji yanapita juu ya Barbara (tahadhari kubwa)
5. Msasani kama unakibebi woka kiache tu home tumia daladala
6. Ntaendelea kuwapa update baadae.......
TAZARA maji yamejaa magari mengi (bebi woka) yamezimika
7. Mnaoenda Temeke pitieni uwanja wa taifa
8. Bonde LA mkwajuni maji yanapita juu ya Barbara
9. MTO Mzinga umejaa, Mbagala pitieni kwa Kanji
10. Mikumi-Kilosa Morogoro barabara imefungwa
Mkwajuni maji sio mengi sana. Ila wanaoenda kinondoni pale mkwajuni ni changomoto kwa gari la chini
 
MAJANGA YA ASILI..
MIUNDOMBINU...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…