Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwani kuna utofauti?
Mabucha tofauti nyama ni ile ile [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
30605304_164202817628124_6595169518505426944_n.jpg
South Africa..Baba na Mama wagombea mtoto..Baba kaamua kumtupa mtoto toka juu ya nyumba baada ya Police kusema mtoto abaki na mamake..ila mungu mkubwa malaika wa mtoto wakamdaka.. Jamaa ana shitakiwa kwa kutaka kujaribu kuuwa mtoto wake.
 
Back
Top Bottom