Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mabucha tofauti nyama ni ile ile [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Kwani kuna utofauti?
Kweli??Mwanamme lakini siumii
Damascus?
Hii imeniliza walahi!View attachment 746512 South Africa..Baba na Mama wagombea mtoto..Baba kaamua kumtupa mtoto toka juu ya nyumba baada ya Police kusema mtoto abaki na mamake..ila mungu mkubwa malaika wa mtoto wakamdaka.. Jamaa ana shitakiwa kwa kutaka kujaribu kuuwa mtoto wake.
Duh!Damascus?
Maji hufwata mkondo
Ushamba kweli kweli walahi!