Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mie nitakupa likes hata kule siasani ukiandika mambo ya maana, na nimeshafanya hivyo mara nyingi tu. Kumbuka niliwahi kukwambia kwamba nimegundua wewe una akili sana na una uwezo mkubwa wa kujenga hoja bali tu unapenda kujifanya hamnazo kwa kuwapigia debe hao wahuni na mafisadi.

Humu pokea like hata mia nitakupa

Uzi wa like kama kawa 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…