Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

62708E5D-BF46-46CB-9AEE-E4CB9524A676.jpeg
 
*Lakini baadhi ya wanawake wanaakili sana,akiwa na miaka kati ya 18 hadi 24,Anafikili kuolewa na wabunge,matajili wasomi PhD, Lkn akifika miaka 28..... Unaanza kusikia mume ni mume ilimradi amevaa suruali* [emoji14][emoji14][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]‍♂‍♂[emoji85][emoji87]
 
Ukiwa bachelor hakuna kitu huwezi fanya, kila kitu iko na short cut... Unaamka asubuhi unawekelea chai then unatumbukiza mayai mbili ndani, yaani unapika chai uki boil mayai at the same time.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaenda church mapema mpaka mamako anaambia majirani vile umeokoka.
Kumbe unataka kukalia karibu na socket usiishiwe chaji. God is watching you[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Back
Top Bottom