Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unaenda church mapema mpaka mamako anaambia majirani vile umeokoka.
Kumbe unataka kukalia karibu na socket usiishiwe chaji. God is watching you[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28], Socket zawekwa mbele tu, j'pili ijayo ntajaribu kufanya observation kama zawekwa pia sehemu nyingine.
 
IMG_20180416_175807_032.jpg
 
*Lakini baadhi ya wanawake wanaakili sana,akiwa na miaka kati ya 18 hadi 24,Anafikili kuolewa na wabunge,matajili wasomi PhD, Lkn akifika miaka 28..... Unaanza kusikia mume ni mume ilimradi amevaa suruali* [emoji14][emoji14][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]‍♂‍♂[emoji85][emoji87]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], mwanaume suruali
 
*Tofauti kati ya Mama wa kizungu na Mama wa kibongo wakati wa kuwanywesha watoto dawa;*

*Mama wa kizungu: Open you mouth baby!*

*Mama wa kibongo: Fanya aaaaaaaaanh!*

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1550]‍♂[emoji1550]‍♂[emoji1550]‍♂[emoji1550]‍♂[emoji1550]‍♂[emoji1550]‍♂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], Nimecheka hadi tumbo laniuma
 
Back
Top Bottom