myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes za usiku
Mafuru Lawrence hakusepa Mkuu alifukuzwa baada ya kusema ukweli kwamba hakuna mfanyakazi serikalini anayelipwa milioni 40 kwa mwezi tofauti na kauli ya jiwe na pia hakuna tatizo taasisi za Serikali zinapofungua fixed deposits ili kujipatia pesa za kuongeza kwenye gharama mbali mbali za taasisi hizo. Jiwe likaamua kumfukuza kazi.
Itakuwa halisikii[emoji38] [emoji38] [emoji38]Na hilo baridi lake mmh!
Teh teh teh!
Yote tisa, hivi ni Asilimia ngapi ya pato la nchi tunatumia kulipa madeni ya nje ???
Hapo nimekuongezea siku za kuishi. Itabidi unilipe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], Nimecheka hadi tumbo laniuma
Kwema shemeji?
Kweli tenaHapo nimekuongezea siku za kuishi. Itabidi unilipe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Katoto kalipona? Hilo ndilo la muhimu zaidi [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hii habari niliiona ikanisikitisha sana
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji28]Itakuwa halisikii[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hana habaree hata na hivyo[emoji23]
Nani kama mama?[emoji58] [emoji58] [emoji38] [emoji38] View attachment 746664