Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ninachozungumzia hapa ni kupigania maslahi ya Tanzania na Watanzania. Shilawadu hawapendi wapinzani asilani ndiyo sababu hata wale ambao walitaka kwenda kumpa pole Kamanda Lema aliwawekea mkwara mzito sana. Na anafanya juu chini kumtumia Propesa Lipumba ili kuisambaratisha CUF halali na sasa kaanza mkakati wa kuwanunua madiwani na wabunge wa CHADEMA.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…