Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabisa,ila naona tunashida mahali.
Yawezekana elimu juu ya magonjwa haya mlipuko (hasa yaenezwayo kwa njia ya maji)haitolewi ya kutosha ama tunapuuzia.
 
Na pengine ushaanza fikiria mipango ya baadaye ukiwa naye.
Lakini kuna makosa ambayo tunayafanya wengi wetu siku ya kwanza unapotoka na mtu wa jinsia tofauti.

Pitia vipengele vifuatavyo ugundue unafanya wapi makosa na uyaepuke.
 
1.USIMZUNGUMZIE MTU WAKO ALIYEPITA


Hili ndio kosa kubwa la kwanza ambalo wengi wanalifanya wanapokuwa katika mtoko na mtu mwengine wa jinsia tofauti.
Tambua wazi si kwamba utamuonyesha kuwa una hisia na watu unaowahi kuwa nao,
lakini ujue unamuudhi mtu uliyetoka naye.
 
Me nakuelewa kitambo sana,nashangaa siku hizi unanipotezea[emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah
 
2.USIZUNGUMZIE NGONO


Kabla hujajua kama unayetoka naye anapendelea mazungumzo ya aina gani,
usikurupuke kuzungumzia habari hizo kana kwamba wewe ni mtaalamu sana ukidhani utamvutie uliyetoka naye.
Kama uliyetoka naye ana malengo ya mbali utamfanya afikirie mara mbili kama utamfaa siku za mbele.
 
3.USIJIZUNGUMZIE WEWE KILA WAKATI


Kujizungumzia wewe kila wakati itamuonyesha uliyetoka naye kuwa una ubinafsi ndani yako.
Kila mtu angependa kupata nafasi ya kujielezea mbele ya mwenzake lakini kama wewe unamkatisha na kujizungumzia wewe tu utamtisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…