Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha kama nawaona binti na mama yake jamaa alivyoondoka haya mauwa angewapelekea nyuki mm sitaki mambo za mauwa kabisa lete mauwa na pesa
 
Jamaa alijua kama binti pesa ya matibabu haikutoshea?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hili limeingiliwa
 
Tena nakukumbusha tu na sub wake ni mwakaleli sasa jichanganye uone[emoji23][emoji23][emoji23]ukoo mzima dadeq
 
Hahaha kama nawaona binti na mama yake jamaa alivyoondoka haya mauwa angewapelekea nyuki mm sitaki mambo za mauwa kabisa lete mauwa na pesa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…