Nakweli ni arosto maana....Bado mama mambo za arosto tunakomaa na michirizi ya damu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hapo kuna list kubwa sanaMimi sipendagi list wizo[emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaah
Mvuto kivipi mkuu fafanua kidogoTuache utani wadada wanene wana mvuto sana kuliko wadada vimbaumbau...
Mm ndio mana napendaga mahela tu7.USIBEBE ZAWADI ZA GHARAMA
Kumbuka huo ni mtoko tu na sio sherehe.
Unapobeba zawadi za gharama kubwa kwa mwenzako si kwamba utamfurahisha lakini ndani yake utamfanya akuone kuwa upendo wako pia unajengwa zaidi na vitu vya gharama.
Yaaani hapo kwenye "bee"Bee andjul
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Hivi ulijuaje lakini nafanana nae
Kweli kabisa8.USISHAMBULIE WENGINE
Ukiwa umetoka na mtu usianze kumzungumzia vibaya mtu au watu wengine,
kwani utamuonyesha wazi kuwa ipo siku na yeye itakuwa zamu yake.
Kama mie tu hahahaMm ndio mana napendaga mahela tu
Ewaaaaaa mseto hiyo[emoji12][emoji12]Hiyo ndio mnaita Mseto au Mchanyato?![emoji1][emoji1]
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Msalimie ledada jamani
Si kwa mbio hizo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ewaaaaa kumbe uko na kumbukumbu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Uliwahi sema wewe ni mnene, unakitambi flani hivi amaizing kutoka uzi flan
Am pretty sure
Hakika[emoji4] [emoji4]Tuache utani wadada wanene wana mvuto sana kuliko wadada vimbaumbau...
Aish!Aiseee hapo jibu si sawa na four factorial 4!