Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ishatokea sehemu moja,bint alikua anaumwa hoi kalazwa hosp,mchumba wake akaenda mtembelea na maua ya bei mbaya,kumne bint matibabu pesa haikutosha na dawa bado wanahangaika kupata pesa,mama wa bint ikamuuma kwel kuona jamaa kaleta maua bora angewapa pesa ya kusaidia hata dawa au matunda. Hawakumwambia mpaka anaondoka ila bint alipopona alimfungukia vizuri tuHahaha bora unipe mahela tu mambo za zawadi hizo unaweza nipa nikawa sijaipenda